product_image_name-Storymoja-Vituko vya Go-Go mbugani-1

Share this product

Storymoja Vituko vya Go-Go mbugani

KSh 420

In stock

+ shipping from KSh 69 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
Variation available

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 69
Ready for pickup between 05 June & 06 June when you order within next 3hrs 2mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 129
Ready for delivery between 05 June & 06 June when you order within next 3hrs 2mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

Storymoja

100%Seller Score

15 Followers

Follow

Seller Performance

Order Fulfillment Rate: Excellent

Quality Score: Excellent

Product details

Mbuzi kwa jina Go-go anapotelea katika mbuga ya wanyama ya Nairobi. Anakumbwa na hofu akikumbuka wanyama hatari wa porini wanaoweza kumgeuza kitoweo. Mbuzi Go-go hana budi kutumia akili la sivyo apatwe na makubwa. Je, Mbuzi Go-Go atafanya nini ili arejee kwao salama salamini?

Specifications

Key Features

  • Hadithi ya kusisimua inayofundisha stadi za maisha. 
  • Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4). 
  • Hiki ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuongoza. 
  • Kitabu hiki kina ukurasa 32.

Specifications

  • SKU: ST991BM32IEUFNAFAMZ
  • Production Country: Kenya
  • Weight (kg): 0.005
  • Main Material: Paper
  • Shop Type: Jumia Mall

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Storymoja Vituko vya Go-Go mbugani

Storymoja Vituko vya Go-Go mbugani

KSh 420
Questions about this product?

Recently Viewed

See All